Nyie watumishi wazoefu mliopo maofisini sio kila mgeni ni wa kumchukulia poa

Ingekuwa hivyo wizi na ubadhirifu wa mali za umma usinge kuwepo kama kweli hao watu wangekuwa wapo serious na kazi hiyo unayo isema
 
Aissee,
 
Siku utakapo zikuta picha zako hapa za matukio ndio utafahamu hiki ninachoandika hapa kilikuwa ni mkwara..
Sasa hizo picha za matukio yangu zitaondoka na pumzi yangu!!!?? Afu mimi ndo wale sitegemei wala kuamini hata kidogo kwamba "nikiishi maisha nje ya mfumo wa serikali sitokua na maisha safi""

So dont even think about kumkomoa mtu wa kaliba yangu mkuu😃😃😃
 
Wageni wapo wa aina tatu aina unayosemea ww Bado hunaifikia mfano mpelelezi wa takukuru au Usalama sasa kama kolo ukimuangalia unajua huyu colo kama Usalama utamjua tu kwa kutumia Conscious mind
 
Kumbe wewe ni mrundi!
Toka kwenye nchi yetu mkuu.
 
Hao vilaza wanajulikana maana wengi wameingia huko kupitia Ccm na wengi wanoutumwa huko ni vilaza

Sio rahisi MTU msomi smart atumwe gerezani awe Anakunya kwa foleni kisa ni tithiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…