Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,546
- 4,486
Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo...... nikiwa na efd recept ya faini ya laki 250,000Ni ngumu sana kumgundua ...2017 niliingia Gereza la butimba.. siku tunaingia jioni hiyo tulikuwa watu watano , wanne walikuwa ni Wana usalama ( sisemi ni kitengo Gani) tulipelekwa moja kwa moja tukapewa chakula na baada hapo tukapangiwa selo ya kulala, ndani ya selo Ile kulikuwa na jamaa wengine watatu jumla tukawa saba .....tumeishi wote mle gerezani mwezi mzima mpaka tukazoeana...mwisho wa yote nilikuja kufahamu wale Wana usalama walitumwa kuja kuwachunguza na kuwapeleleza hawa jamaa watatu ( warundi) siraha walizoingia nazo nchini ili kufanya uhalifu walikuwa wamezificha wapi......
Mtoa mada ulipogundua ile ID ya Kwanza tumeiandama umefanya sabu na kuja na ID ya pili ili kutu seduce.Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo......
Wenye D2 mpooooo
Hii ni true story mkuu si hadithi ni familia yangu kabisaMtoa mada ulipogundua ile ID ya Kwanza tumeiandama umefanya sabu na kuja na ID ya pili ili kutu seduce.
Sasa kwa bahati mbaya tumekubaini oya Manfried jamaa yako kaja na ID mbadala.
Wasaidie kuwadadavulia najaribu kuwasanua ili wakae kwa password huko makazini, Kuna mama yupo hapo Tabora kuanzia mwezi wa Tano nitakula nae sahani moja ....Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo......
Wenye D2 mpooooo
Kifupi kila mtu na majukumu yake, uadilifu ndo msingiWasaidie kuwadadavulia najaribu kuwasanua ili wakae kwa password huko makazini, Kuna mama yupo hapo Tabora kuanzia mwezi wa Tano nitakula nae sahani moja ....
Ikawaje sasa habu endelea kuhadithia ili tupate kuelewa.Hii ni true story mkuu si hadithi ni familia yangu kabisa
Ili iweje wewe...nenda kalale ili ukue.Ikawaje sasa habu endelea kuhadithia ili tupate kuelewa.
Mkuu pamoja na kutumia ID zote mbili kwa mara moja kutushawishi umeshindwa?Ili iweje wewe...nenda kalale ili ukue.
Chunga sana, huyo Jamaa atakulisha matango pori.Wamekusikia. Watafanyia kazi.
Kuzia Wizi na ubadhirifu wa fedha za serikali sio kwa maslahi umma?Zipo sehemu maalumu hasa zile zinazolenga moja kwa moja maslahi ya umma
Ndo akujibu sasa. Aache mauwongo.Kuzia Wizi na ubadhirifu wa fedha za serikali sio kwa maslahi umma?
Ni mission mkuu na anaporipoti anapajua yeye nami nilibaki dillema Sina nalojuaIkawaje sasa habu endelea kuhadithia ili tupate kuelewa.
Basi wote tukubaliane kuwa huyo dada yako ni mwongo.Ni mission mkuu na anaporipoti anapajua yeye nami nilibaki dillema Sina nalojua
🤣🤣🤣🤣we nae mpanaNaona uanachimba chimba kimtindo.
Kwahiyo unatuma ujumbe indirect way, una uhakika atakusikia huyo mama?? wewe mfuate face to face mpe makavuWasaidie kuwadadavulia najaribu kuwasanua ili wakae kwa password huko makazini, Kuna mama yupo hapo Tabora kuanzia mwezi wa Tano nitakula nae sahani moja ....