Kwahiyo nyie wageni ambao sio powa mnakuja kufukuza watumishi wa muda mrefu kazi?Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa kumchukulia poa mgeni😁.. Nimemaliza.
Hahahah 😂🤣🤣🤣🤣we nae mpana
Umeunga dot kwa yule former psu.? 😀😀😀Hasa hasa wageni wa manunuzi (procurement unit) wengi kazi maalum.
Sawa ni mwongo hapa sipo kubishana wala ku expose mtu🔨🔑Basi wote tukubaliane kuwa huyo dada yako ni mwongo.
Waendekeze uvivu, jeuri na kubangaiza tu kwenye hizo afisi, wanakula mshahara wa bure.Nawatahadhalisha watumishi mliopo maofisini hasa mliopata hizo ajira kitambo, sio kila mgeni anaekuja hapo niwa kumchukulia poa....wengine hapo kituoni wanakuja wakiwa na kazi maalumu.
Atakuja hapo kwa nafasi ya kujitolea au kwa nafasi yoyote Ile , chunga sana usije kupoteza kazi kwa kumchukulia poa mgeni😁.. Nimemaliza.
Kwa nini usitake watu watimize wajibu wao wawapo maofisini bila kujali huyu au yule ni nani? Pengine haya ni matokeo ya sisi watanzania kukulia na kuzoea mazingara ya ''usipofanya abc, utakiona''? Nadhani njia nzuri kabisa ni kuwaasa watimize wajibu wao na siyo kuangalia huyu ni nani kwanza.Tusijekulaumiana baadae mkuu.
Mwanangu ajambo...Ni kweli.
Hata BICHWA KOMWE ni TITH.
Jichanganye utanyukwa na kitako cha mguu wa kuku.
Cc: GENTAMYCINE Extrovert Nyani Ngabu binti kiziwi cocastic akee The Mongolian Savage adriz Mufti kuku The Infinity Mbaga Jr Poor Brain Lamomy
Uongo yani utumie pesa zako kwaajili ya Serikali wakati vyombo vya Usalama wana bajeti zao.Ukiwa kwenye vyombo kuingia sero au gerezani kwaajili ya kutafuta taarifa ni kawaida Sana. Mwaka Jana kuna dada yangu aliwekwa Butimba na nikapata taarifa nikiwa Mbeya ikabidi nitoke haraka kurudi Mwanza kufika Butimba namkuta na gwanda za njano kifungo miezi 6 namuuliza vp anasema niache Kuna ishu Ila baada ya siku 3 nimfuate kwa removal order nikafanya hivyo...... nikiwa na efd recept ya faini ya laki 250,000
Wenye D2 mpooooo
Hiyo ndiyo furaha yangu.Sawa ni mwongo hapa sipo kubishana wala ku expose mtu🔨🔑