ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
[emoji23][emoji23] duh..wote hao kwa mama mmoja ?
Hapana[emoji23][emoji23] duh..wote hao kwa mama mmoja ?
kasema watotoWa ndani ya ndoa au wa nje ya ndoa?
Comment 0Tusio na watoto tunasoma tu comments[emoji4]
Samahani, huyo kwenye avatar ni wewe?Nina kamanda mmoja inshaalah Mungu akinijaalia mwaka hautaisha niongeze mwingine maana uzee nao unakuja kwa kasi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatunzwa na YEHOVA baba Mungu..ameshawahakikishia mahitaji Yao toka kuundwa kwa misingi ya ulimwenguni huu.ameni.Mnawatunzaaaa?
Ama mnatujia hapa vifua mbele kujisifia mna watoto?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Watoto Ni watoto tu...woteWa ndani ya ndoa au wa nje ya ndoa?
Baba ako akija kucoment atakuhesabia na kukutaja.ntakutag
Ni muhimu idadi ya watoto ilinganishwe na umri!!Naombeni mtaje idadi ya children ambao mpaka Sasa mwenyeziMungu amekujalia.. nikianza na me mwenyewe ninaye mmoja wa kiume.