Nyie wenzangu mna watoto wangapi mpaka sasa?

Nyie wenzangu mna watoto wangapi mpaka sasa?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Naombeni mtaje idadi ya children ambao mpaka Sasa mwenyeziMungu amekujalia.. nikianza na me mwenyewe ninaye mmoja wa kiume.
 
Mnawatunzaaaa?

Ama mnatujia hapa vifua mbele kujisifia mna watoto?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Wanatunzwa na YEHOVA baba Mungu..ameshawahakikishia mahitaji Yao toka kuundwa kwa misingi ya ulimwenguni huu.ameni.
Wengine wanatunzwa na Bibi zao
 
Back
Top Bottom