Nyimbo/album hizi kama zingetoka leo zingeleta utajiri kwa waimbaji

Nyimbo/album hizi kama zingetoka leo zingeleta utajiri kwa waimbaji

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo.

1. Maria Salome -Saida Karoli.

2. Starehe & Kamanda- Ferouz.

3. Uwe macho & Jipange sawa sawa -Rose Muhando

4. Machozi jansho na Damu &J.O.S.E.PH -Prof Jay.

5. Fagilia - Mr. Nice.

Hizi zingetoka Leo zingebadili mambo mengi sana .
Zingine ongeza
 
We nae chiz kwa stress hiz nan angesikiliza izo mimbo
 
Ni kweli ni nyimbo nzuri ila kulingana na zama mzee mwenzangu! Wakati huo hata mashoga hawapo, ila saivi ona mambo yalivyobadilika matusi matusi, mambo ya aibu aibu, ujinga ndiyo jamii inafurahia hadi wazee!
 
Mbona ziliwatajirisha sana kwenye kipindi chao? Ferouz alizawadiwa hadi Jeep Charokee ambayo kwasasa ni kama Range Rover Autobiography.
 
Back
Top Bottom