Hizi ni orodha ya Nyimbo za zamani ambazo kama ZINGETOKA Leo, Zingewatajirisha sana Wasanii au waimbaji. Na pengine zingebadili upepo wa Sanaa ya bongo.
1. Maria Salome -Saida Karoli.
2. Starehe & Kamanda- Ferouz.
3. Uwe macho & Jipange sawa sawa -Rose Muhando
4. Machozi jansho na Damu &J.O.S.E.PH -Prof Jay.
5. Fagilia - Mr. Nice.
Hizi zingetoka Leo zingebadili mambo mengi sana .
Zingine ongeza
Ni kweli ni nyimbo nzuri ila kulingana na zama mzee mwenzangu! Wakati huo hata mashoga hawapo, ila saivi ona mambo yalivyobadilika matusi matusi, mambo ya aibu aibu, ujinga ndiyo jamii inafurahia hadi wazee!