Nyimbo gani ukisikiliza inakupa mzuka wa ku-dance?

Nyimbo gani ukisikiliza inakupa mzuka wa ku-dance?

Josee Mayanja Chameleone King of East Africa Music songs..karibu zote.
 
Josee Mayanja Chameleone a.k.a (King of East Africa Music) songs...hajawahi kuchuja toka aanze muziki adi kesho...Kuanzia Shida za Dunia... Jamila...Valuvalu...Badilisha...Bwerere etc
 
Mi nkiskia"umurilooo..umurilooo...!" Hata niwe nagegeda, huwa naacha!! Najimwaga balaa!! Saida l salute you!!
 
Sauti na nyimbo za huyu jamaa mara kadhaa zimefanya makalio yangu yakimbie siti kisha taratiiiibu naunyonga nyonga mwili kwa mbwembwe nyingi saaana.

Nyimbo za hawa jamaa hapo mwishoni huwa napenda sana wanavyorushana. Ila mimi ni mdau wa Franco, Madilu & JB Mpiana
 
Nyimbo za hawa jamaa hapo mwishoni huwa napenda sana wanavyorushana. Ila mimi ni mdau wa Franco, Madilu & JB Mpiana
Ni kweli mkuu hao watu nawakubali pia...
Jb Mpiana naipenda sana nyimbo yake ya MASUWA kila siku lazima niisikilize.
 
Back
Top Bottom