Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,320
Upo vzr sn[emoji23] haya bhana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo vzr sn[emoji23] haya bhana
Lazor ft Nasty, Pantoraking and Jidenna - particulaParticular -major lizor ft wasanii wengiii..
A cha hizo bhana nilikuwa classUpo vzr sn
A cha hizo bhana nilikuwa class
Kweli tena pole kama uliona wivu.......[emoji12] [emoji12] [emoji12] siwezi kufanya hivyo mie bado mdogoHahahahahaha,kweli?
Nilisikia wivu ujue
Udogo gani bwana unaingia nyumba ya wageni vzr tuKweli tena pole kama uliona wivu.......[emoji12] [emoji12] [emoji12] siwezi kufanya hivyo mie bado mdogo
[emoji85] [emoji85] [emoji125]Udogo gani bwana unaingia nyumba ya wageni vzr tu
Naenda kusema kwa mamaUdogo gani bwana unaingia nyumba ya wageni vzr tu
Ndio maana ukabadili jina[emoji85] [emoji85] [emoji125]
Bi mkubwa alikuwa anaona nyuzi zangu humu ndiyo maana nilobadiliNdio maana ukabadili jina
Sio kuwa michepuko iligonganaBi mkubwa alikuwa anaona nyuzi zangu humu ndiyo maana nilobadili
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi hizo kuvaa plasta bila kidonda ni ujanja
Sinaga mambo hayo kabisa humu jf niliwahi kupenda Mara mbili tu badae nilipokuja kuwagundua daaaa a cha kabisa nilitoka nduki.. Humu watu na watu waoSio kuwa michepuko iligongana
Uligundua nn?!Sinaga mambo hayo kabisa humu jf niliwahi kupenda Mara mbili tu badae nilipokuja kuwagundua daaaa a cha kabisa nilitoka nduki.. Humu watu na watu wao
Utamu wa ngoma ingia uchezeUligundua nn?!
Hamna niyakawaidaHahahahaha
Hutaki kusema?!
Kama ya kaaida ungekabiliana nayo tu sio kukimbiaHamna niyakawaida