Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Nyimbo za hawa jamaa hapo mwishoni huwa napenda sana wanavyorushana. Ila mimi ni mdau wa Franco, Madilu & JB MpianaSauti na nyimbo za huyu jamaa mara kadhaa zimefanya makalio yangu yakimbie siti kisha taratiiiibu naunyonga nyonga mwili kwa mbwembwe nyingi saaana.
Ni kweli mkuu hao watu nawakubali pia...Nyimbo za hawa jamaa hapo mwishoni huwa napenda sana wanavyorushana. Ila mimi ni mdau wa Franco, Madilu & JB Mpiana