Umeona eh,ni vitu viwili tofauti!Over thinking is what kill them.
Wanawaza hela tu hawajui vitu vingine na hela havihusiani... [emoji23] [emoji1] wabongo bhana sasa kusikiliza muziki na kudansi inahusiana vipi na hela...
Huu wimbo ulipotoka plasta mauzo yalikua juu na tishet kubwa ili tu kufanana na nelly. Vijana walitisheeerrrr
Enzi hizo kuvaa plasta bila kidonda ni ujanja
CCM MBELE KWA MBELE
Mkuu kwenye "nya" weka "ma"Wema kunyanyoko. Dr lemi
Me hii seduce me ya Ali kiba naenjoy sana nikiisikiliza lazma ni dance haijawai niacha salama!