Nyimbo gani ukisikiliza inakupa mzuka wa ku-dance?

Nyimbo gani ukisikiliza inakupa mzuka wa ku-dance?

Don’t Look Any Further by Dennis Edwards.

Hata niwe nimelewa namna gani pombe zinakata kwa muda.
 
Pesa yakutosha ikiwepo mfukoni hata taarabu unaweza dance mkuu
 
Inategemea ntu na ntu, wengine taarab mzuka haupandi kabisaaaaaaaaa! Na kuruka debe hakuihitaji pesa ndiyo sababu hata asiye nazo hujirusha kwa raha zake.

Pesa yakutosha ikiwepo mfukoni hata taarabu unaweza dance mkuu
 
Back
Top Bottom