Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

Mimi huu wimbo nikiuskiliza kuna moment fulani ya muda kidogo huwa naikumbuka😅
Your browser is not able to play this audio.
 
Smoke tour ya Dr. Dre, Snoop, Xzbit, Coolio and other Niggas.

Tumetoka mbali sana. Nilikiwa nampenda sana Eminem na slim shade yake bila kusahau Busta hususani you make it clap.

Nikwa chuo kikuu Wakawa wananiita Omario wa B2K kwani nilikuwa navaa yake FUB na ina Jina la Omario Mgongoni. Nilipomaliza chuo na kuingia mtaani Ikatoka Nelly na Kelly's Lowland baadaye akachipukia 50 cent na in da club bila kusahau Pimp Juice. Nilikiwa napemda sana real hip hop nikiwa naandika kwenye daftari Verse za hip hop. Nilikiwa naipenda sana Dear Mama. Hata sasa nikisikia ile ngoma ya Dr. Dre inaitwa "STILL" huwa nachanganyikiwa sana.

Utoto na ujana wetu ulikuwa raha sana. Kweli miaka inaenda.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…