min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Isikilize kwa vyombo vikali hii ngoma ni kali, gademit 🤣🤣Hii hata mimi naipenda na ile "furaha"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isikilize kwa vyombo vikali hii ngoma ni kali, gademit 🤣🤣Hii hata mimi naipenda na ile "furaha"
Gademit ndo nini wewe!😒Isikilize kwa vyombo vikali hii ngoma ni kali, gademit 🤣🤣
Nahisi ni ya Reny Ongala."Wema kumanyoko"
Ya mzee ngurumo yule kama sikosei
Utaelawa round hiiKumanyoko kivipi sasa
Hamna kinachoelewekaUtaelawa round hii
Umesha wahi kusikia wimbo wa taifa unafungiwa?Haukufungiwa huu wimbo?
Kwani wimbo wa taifa una matusi?Umesha wahi kusikia wimbo wa taifa unafungiwa?
Umemuona huyo mtoto mzuri lakini😋Anajua sana.
Ni mwendo wa kumanyoko tu.Hamna kinachoeleweka
Sivutiwi na wadada wembamba😒Umemuona huyo mtoto mzuri lakini😋
Huyu jamaa akiamua kuto kulala kama mond au mimi😅😅 east atashika namba mojaHii nyimbo imfikie kaka ako Chaliifrancisco
Huu wimbo enzi hizo ulivuma Sasa ukawa na hadhi ya wimbo wa taifa Kwa maana kila mtu aliuimbaKwani wimbo wa taifa una matusi?
Au huu ulikuwa wimbo wa taifa gani
Na wewe hulali?Huyu jamaa akiamua kuto kulala kama mond au mimi😅😅 east atashika namba moja