Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

Aslay _
Inauma

Darasa ft san boi_
Sogea

Chid benz ft mzee_ yusuph mashallah

Mc Donald_ kaun tujhe

Koff olomide _un dollars

Benson _hauzimi(hapa nliachwa na demu akaenda kua na mahusiano na kaka yangu)
Jojo _baby it's you!

Isha mashauzi _mapenzi hayana dhamana
 
Habari zenu wapendwa katika mimi!

Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.

Myself nina nyimbo ambazo nishawahi kuzisikiliza non-stop.

Do Better - Chris's brown
Die For You - The weekend
When I Was Your Man - Bruno Mars
Why Not Me - Enrique Iglesias (hii huwa siichoki hata hii naiskiliza sana)
Ekuweme - Prosper Ochimana
Mockingbird - Eminem
Reminder - The weekend
Stupid Love - Jason Derulo
1942 Flow - Meek Mill

Kwangu mi hizo ndiyo nyimbo ambazo nimmehawahi kusikiliza bila kuzichoka.

Share na wewe ili tupate kuujua muziki mzuri.

joanah
turn back the hands of time ya rkelly na faded ya allan walker
 
Chuma hiki miaka na miaka kutoka kwenye kaseti mpaka Spotify burudani Iko palepale wakati ule kulikuwa na wanamuziki na sio wasanii.
Screenshot_2024-07-21-12-07-01-948_com.spotify.music.jpg
 
 
Back
Top Bottom