Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

Nyimbo gani utamchagulia x wako siku ya harusi yako?

Wanawake wazuri wazuri wameolewa,yamebki madunga embe yanaangaika.
 
kitu "Solemba solemba solemba solemba aaa!" hasa pale kwenye "Tafuta bwana mwingine utakaembabaisha kamaa mimii..."

yaani kama ulikuwa kichwani pangu

au kama sio Sole,mba basi "mkataa pema" wa DDC mlimani park
 
Msichana wa sura nzuri,ni kitu gani kinakufanya usiolewe...oooh baby......ona watoto wa nyuma yako,wameolewa wamekuacha ukiteseka'
 
Back
Top Bottom