Nyimbo gani ya zilipendwa ukizisikiliza moyo unatulia?

Nyimbo gani ya zilipendwa ukizisikiliza moyo unatulia?

Muchana-kanda bongoman

Vinanda vyake vinaniliwaza japo sielewi lugha wanayoimba
Nausikiliza toka nipo mdogo
 
Muzina!Muzina de tata...ya Tabu Let ikimaanisha "kwa jina la baba,na la mwana...
 
Aisee kuna hii nyimbo inaitwa; “Sasa ni lunch time tufunge makazi,” nikiisikia lazima nipate hamu ya kula!

Plus kuna nyimbo za marehemu;
  • Siri ya nini
  • Sarafina
  • Kachichi
Hizi nyimbo hazinitoki.
Rhumba karibia zote nazielewa
Les wanyika, amigo, afro, barua yako
Mliman ddc, nawashkr wazaz wangu, sauda
Brenda fassie, vulindlela, mama am sorry, nakupenda
Tshala muana, karibou yangu, dezo dezo na kokola,
Mbilia bell, na wengn wengi

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Aisee kuna hii nyimbo inaitwa; “Sasa ni lunch time tufunge makazi,” nikiisikia lazima nipate hamu ya kula!

Plus kuna nyimbo za marehemu;
  • Siri ya nini
  • Sarafina
  • Kachichi
Hizi nyimbo hazinitoki.
DEKA ya harmonize
Kanyaga ya Diamond
 
Aisee kuna hii nyimbo inaitwa; “Sasa ni lunch time tufunge makazi,” nikiisikia lazima nipate hamu ya kula!

Plus kuna nyimbo za marehemu;
  • Siri ya nini
  • Sarafina
  • Kachichi
Hizi nyimbo hazinitoki.
Party Ya Kuaga Umasikini, Theresa, VIP, Mtatumaliza, Mke Mkubwa na Shoga. Zote hizi za Vijana Sagha Rhumba.
 
Back
Top Bottom