Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umezisikiliza mkuu, yaani ni moto wa kuotea kuleeeeee, usiukaribie hata kidogo. Vijana walikuwa something else jamani, tuwape tu maua yao👏Ebu nizisikilize
Sikinde wako poa ila kimuziki haijawahi kuwafikia Vijana Sagha Rhumba hata siku moja sema tu Watanzania tuna matatizo ya kukariri kila kitu.
Juwata hao baadae wakawa Ottu baadae Msondo ngomaimeimbwa na nani
Zahiri akiomba awe mpangaji wa kudumu kwenye moyo wa Beatrice
Wacha Wacha waseme,watasemea mchana eeh , usiku watalala
Mshike mshike mtie nanga-Twanga pepeta
Sikutangila,twende kumwona ai ai (sijui wacongo wale mi sijui majina ya nyimbo)
Umgejua ungejua roho yangu inachoma -Suma lee sijui na nani
Mama Africa-Jide& Chameleon
Dunia mapito-Matonya
Nilltaka iwe Siri yeti.Tuwekee nyimbo za saga rumba tuone
1.Tuwekee nyimbo za saga rumba tuone
Ngoma nyingi mnooo
Ngapulila,
mv mapenzi,
Mtaa wa saba.
Jogoo la shamba
Amigo ya les wanyika.
Karubandika marquis du zaire
VIP ya vijana jazz, ni moto mnoo
Baba jeni ya hamza kalala.
Shoga by vijana jazz bonge la ngoma.
Ngalulala marquis du zaire.
Solemba juwatta jazz na niko zengekala
Nizijuazo nimkuu nisaidie band ambazo ameimba hussen jumbe
Nyimbo Leila imenitoa machozi nimekumbuka mbali sana, Heko Tshimanga Assosa1. Mwisho wa Mwezi (Sagha Rhuma)
2. Ogogpa Matapeli (Sagha Rhumba)
3. Penzi la Mwisho (Mlimani Park)
4. Neema (Mlimani Park)
5. V.I.P. (Sagha Rumba)
6. Hujafa Hujaumbika (Twanga Chipolopolo)
7. Dunia Kigeugeu (FM Academia)
8. Mtu Pesa (Twanga Pepeta)
9. Leila (Assossa na Maquiz Original)
10. Siku ya Kufa (Makassy)
11. Mnanioneysha Njia ya Kwetu (Mlimani Park)
Yaani nyimbo za dansi tu zinafurahisha na ziko nyingi sana.