Nyimbo gani ya zilipendwa ukizisikiliza moyo unatulia?

Nawashukuru wazazi, mume wangu jerry, hiba za sikinde.

Ashbahe, Tuma, huruma kwa wagonjwa za Msondo.

Embakassy le manglepa

Misile ya franco n.k
 
Maria by Vijana jazZ
Mv mpenzi part 1 & 2
Maze by Tabuley
Faux paus by Mbilia Bell
Ba Gerants Ya Mabala by Mbilia
Eswi opie
Opepee
Andrada
Maselina wangu
Nk nk
 
Wacha Wacha waseme,watasemea mchana eeh , usiku watalala


Mshike mshike mtie nanga-Twanga pepeta

Sikutangila,twende kumwona ai ai (sijui wacongo wale mi sijui majina ya nyimbo)

Umgejua ungejua roho yangu inachoma -Suma lee sijui na nani

Mama Africa-Jide& Chameleon

Dunia mapito-Matonya
 

hii wacha waseme kaimba nani
 
Maria by Vijana jazZ
Mv mpenzi part 1 & 2
Maze by Tabuley
Faux paus by Mbilia Bell
Ba Gerants Ya Mabala by Mbilia
Eswi opie
Opepee
Andrada
Maselina wangu
Nk nk

Hizi zote za kikongo mani
 

mkuu nisaidie band ambazo ameimba hussen jumbe
 
Nyimbo Leila imenitoa machozi nimekumbuka mbali sana, Heko Tshimanga Assosa
 
Siwema
Usia
Ndoa ya mateso
Dunia uwanja wa fujo

Hizo zote zimeimbwa na Marijani Rajabu


Mtoto Jacky imeimbwa na Nico Zengekala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…