Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

Ule 'nani wa kunifuta machozi,moyoniii nina machoziiii sina tofauti na kipofuuu...kwani hataaa njiaaaa siiiiiiioniiiii iiiiiiiiiii iiii'

Machozi
 
Huo wimbo hauchuji
 
Distance,cos wakat huu wimbo umetoka kuna girl wakitaa nilimpenda xanaa,of course she ws my first love nilimpigaga sound wakat huu wimbo ndo umetoka tena tukiwa home sebuleni wimbo ukigongwa kideoni,hua siusahau
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
"wanaume kama mabinti". mwenyewe aliona katuchaana baada ya dude la ngoni trible " Manungayembe" kutoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…