PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo wimbo hauchujiUle 'nani wa kunifuta machozi,moyoniii nina machoziiii sina tofauti na kipofuuu...kwani hataaa njiaaaa siiiiiiioniiiii iiiiiiiiiii iiii'
Machozi
Kwenye I miss u nimependa pale alivyorapDistance
Understanding
I miss You
Hata mimi mkuuKwenye I miss u nimependa pale alivyorap
Na Dully sykes + Mad IceKuna ule waliimba kundi sijui yumo mr.blue na nani unaitwa "usikate akikuita".
Huo huo, naupenda sana.Na Dully sykes + Mad Ice
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Distance,cos wakat huu wimbo umetoka kuna girl wakitaa nilimpenda xanaa,of course she ws my first love nilimpigaga sound wakat huu wimbo ndo umetoka tena tukiwa home sebuleni wimbo ukigongwa kideoni,hua siusahau
Uko poa sanaHuo huo, naupenda sana.
Hahahahaaa wadada wazuri wazuri wameolewa"wanaume kama mabinti". mwenyewe aliona katuchaana baada ya dude la ngoni trible " Manungayembe" kutoka