Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

Nyimbo zote mbovu, anamba flat nyimbo za nursery.
 
1. distance
2.binti
3.siku hazigandi
4.wangu
5.Ndi ndi ndi

ila kwangu zote tu hajawahi niangushas
 
1. distance
2.binti
3.siku hazigandi
4.wangu
5.Ndi ndi ndi

ila kwangu zote tu hajawahi niangushas
 
kuna ile anaamasisha wazazi waongee na watoto wao kuhusu ukimwi,yaani huwa naitafuta sana,kuna moja ameimba na ngwea inaitwa mapenzi gani,faraja,kuna ile ameimba na wa south afrika,distance,understanding,usikatae akikwita ni combination na akina mad ice,hawajui,kuna moja pia ameimba na mutukudzi kifupi zipo kedekede,huyu mdada anajua aisee
 
Mkuu umeongea vitu vya hali ya chini sana


Mi nakwambia ukweli, masikio yetu yalilazimishwa kusikiliza nyimbo za JayDee kwa Promo na kiki, kama unabisha sema ngoma aliyotoa wiki mbili zilizopita iko wapi? Dada kipaji cha kuungaunga, huwezi kumfananisha JayDee na mwimbaji kama Maunda Zoro. Dada hamna kitu
 
We kweli ni kichefuchefu huwezi mfananisha commando jide na vitu vya ajabu huyo maunda kwanza sijui yuko wap
 
Tatizo lako we ujui mziki mzuri
 
I miss you.... Ile rap si ya nchi hii.
 

Huyu dada anajua. Lakini nashangaa sijui yuko wapi siku hizi. Maana nawasikia kina Nandy,Lulu Diva wakani hawa hamna chochote zidi ya Commando Jide.Sijui tatizo nini jamani?
 
mbona na nyimbo mpya nyingi tuu mkuu,anayo moja inaitwa miss you ni kali
Huyu dada anajua. Lakini nashangaa sijui yuko wapi siku hizi. Maana nawasikia kina Nandy,Lulu Diva wakani hawa hamna chochote zidi ya Commando Jide.Sijui tatizo nini jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…