prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
ndo nani kwani huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu umeongea vitu vya hali ya chini sanaNyimbo zote mbovu, anamba flat nyimbo za nursery.
Mkuu umeongea vitu vya hali ya chini sana
We kweli ni kichefuchefu huwezi mfananisha commando jide na vitu vya ajabu huyo maunda kwanza sijui yuko wapMi nakwambia ukweli, masikio yetu yalilazimishwa kusikiliza nyimbo za JayDee kwa Promo na kiki, kama unabisha sema ngoma aliyotoa wiki mbili zilizopita iko wapi? Dada kipaji cha kuungaunga, huwezi kumfananisha JayDee na mwimbaji kama Maunda Zoro. Dada hamna kitu
Tatizo lako we ujui mziki mzuriMi nakwambia ukweli, masikio yetu yalilazimishwa kusikiliza nyimbo za JayDee kwa Promo na kiki, kama unabisha sema ngoma aliyotoa wiki mbili zilizopita iko wapi? Dada kipaji cha kuungaunga, huwezi kumfananisha JayDee na mwimbaji kama Maunda Zoro. Dada hamna kitu
We nae unajua nnNyimbo zote mbovu, anamba flat nyimbo za nursery.
kuna ile anaamasisha wazazi waongee na watoto wao kuhusu ukimwi,yaani huwa naitafuta sana,kuna moja ameimba na ngwea inaitwa mapenzi gani,faraja,kuna ile ameimba na wa south afrika,distance,understanding,usikatae akikwita ni combination na akina mad ice,hawajui,kuna moja pia ameimba na mutukudzi kifupi zipo kedekede,huyu mdada anajua aisee
Huyu dada anajua. Lakini nashangaa sijui yuko wapi siku hizi. Maana nawasikia kina Nandy,Lulu Diva wakani hawa hamna chochote zidi ya Commando Jide.Sijui tatizo nini jamani?