Unapoacha kufanya kazi na mawingu hilo ndilo linafuata..Huyu dada anajua. Lakini nashangaa sijui yuko wapi siku hizi. Maana nawasikia kina Nandy,Lulu Diva wakani hawa hamna chochote zidi ya Commando Jide.Sijui tatizo nini jamani?
Natamani kuwa kama malaika!