Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

Nyimbo ipi ya lady jaydee commando ilikubamba zaidi

Huyu dada anajua. Lakini nashangaa sijui yuko wapi siku hizi. Maana nawasikia kina Nandy,Lulu Diva wakani hawa hamna chochote zidi ya Commando Jide.Sijui tatizo nini jamani?
Unapoacha kufanya kazi na mawingu hilo ndilo linafuata..

Leo hii gigy yuko juu zaidi ya Jide!!?
 
e6bb554c38aeffd4a952589bbcfc13c9.jpg
Natamani kuwa kama malaika!
 
natamani kuwa malaika
muhogo wa jang'ombe
yahaya video
 
Back
Top Bottom