Spartacus boy
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,727
- 3,464
Inapigwa "Church heathen" ya Shaggy, kisha inapigwa "Get busy" ya Sean Paul na kama kawaida inapandishiwa na "like glue".
Kama vile bado haitoshi, inapigwa "Pon de replay" ya Rihanna a.k.a Mr. DJ. Kabla hamjapoa, inapigwa "hips don't lie" ya Shakira.
DJ hana roho mbaya, anapiga "do me" ya P square, kisha anapiga "khona" ya Mafikizolo.
Wakati bado vibe linachanganyia, anapiga "missing you/come over" ya busy signal, anaweka na"loyal" ya Chris Brown.
Then anaamua kupiga ngumu za club, anaweka "in da club" ya 50 cent, inasindikizwa na "Candy shop". Anapiga "run this town" ya Jay Z, kisha anawapooza na "live your life" ya T.I
Akishuka bongo, anapiga "chupa nyingine" ya Mchiz Mox, "mikasi" ya Ngwea then anaisindikiza na "CNN" ya Ngwea. Anapiga "bang" ya Nako2Nako, kisha anapiga "twenzetu" ya tmk.
Ni saa kumi na moja alfajiri, DJ anagundua kuna watoto wa uswazi ndani ya club, na muda umekwisha. Anawaaga na singeli moja "unatoa hutoi".
Dah! Kweli nimezeeka asee!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Nakupa cheo mkuu. UmetishaInapigwa "Church heathen" ya Shaggy, kisha inapigwa "Get busy" ya Sean Paul na kama kawaida inapandishiwa na "like glue".
Kama vile bado haitoshi, inapigwa "Pon de replay" ya Rihanna a.k.a Mr. DJ. Kabla hamjapoa, inapigwa "hips don't lie" ya Shakira.
DJ hana roho mbaya, anapiga "do me" ya P square, kisha anapiga "khona" ya Mafikizolo.
Wakati bado vibe linachanganyia, anapiga "missing you/come over" ya busy signal, anaweka na"loyal" ya Chris Brown.
Then anaamua kupiga ngumu za club, anaweka "in da club" ya 50 cent, inasindikizwa na "Candy shop". Anapiga "run this town" ya Jay Z, kisha anawapooza na "live your life" ya T.I
Akishuka bongo, anapiga "chupa nyingine" ya Mchiz Mox, "mikasi" ya Ngwea then anaisindikiza na "CNN" ya Ngwea. Anapiga "bang" ya Nako2Nako, kisha anapiga "twenzetu" ya tmk.
Ni saa kumi na moja alfajiri, DJ anagundua kuna watoto wa uswazi ndani ya club, na muda umekwisha. Anawaaga na singeli moja "unatoa hutoi".
Dah! Kweli nimezeeka asee!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sean Paul got Ur lov uBila kupoteza wakati. Nachelea kuwaletea cluh bangers kali ambazo mtu yeyote mwenye akili timamu akizisikia lazima aruke.
1. Notch_Nuttin no go so
2.sean Paul _ everblazing
3.t.o.k_ gal u a lead
4. Nywear _ mikasi
5.chaka demus_mudder she wrote
6. Rupee_ tempted to touch
7.wyclife jean_ love ft eve
8.Ngoni nasiima gwe
9. Ziggy dee_ eno mic
10. Hardman _ Tamala ft fatma
11. Colie budz_ mamacita
12. Brick and lace _love is wicked
13. Shaa_lavalava
14. Ngoni _ bigula
15. Koffee_ toast
16.Tems_damages
( shusheni na nyie)
Link nitaleta kesho nikipata bundle leo natumia free basics
Hahaha umeitisha mwamba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watoto wa uswahili watimue vumbi au sio?
Huwezi kuongele club bangers bila kumtaja Sean Paul. Huyu jamaa alijua kuleta vibe clubs mpaka basi!Sean Paul got Ur lov u
Erique iglesias bailando
Diamond platnum hallelujah
Anaitwa Ziggy Dee _eno micKuna wimbo flani wazamani ni katiya kutoka kenya uganda autanzania nilikalili kipande ...wana imba alomaiti alomaitii ina skitisha sana ooohh ...kama kiluga flani kinaendelea nisaidien jina na muimbajii
Kuna wimbo flani wazamani ni katiya kutoka kenya uganda autanzania nilikalili kipande ...wana imba alomaiti alomaitii ina skitisha sana ooohh ...kama kiluga flani kinaendelea nisaidien jina na muimbajii