Nyimbo kali za vijana wa Kitanzania, vijana ambao hawajapata BAHATI ya kutoboa (underground

Nyimbo kali za vijana wa Kitanzania, vijana ambao hawajapata BAHATI ya kutoboa (underground

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2019
Posts
1,380
Reaction score
1,686
Ni mimi wako UWESUTANZANIA,

Leo wacha niwape Fursa vijana wenye vipaji na hawajapata mtu wa kuwashika mkono.

Ndugu yangu kama wewe ni msanii chipukizi na unahangaika siku zote, una kipaji cha kuimba na hausikilizwi,.

Lete nyimbo yako katika coment ambatanisha na namba yako ya simu.

Au hata kama una kijana anajua kuimba na anaimba vizuri, arecodi akiimba wimbo au alete nyimbo zake katika coment na namba yake ya simu.

Au kama zipo youtube weka link,.

Nb
Usiwe umewahi imba nyimbo na msanii yeyote yule mkubwa au kushirikishwa. Mfano (Diamond, Jux, Kiba, harmon, ben, barn, nk
 
Peter msechu alipaswa kuwa ametoa wimbo kuhusu Janga la kariakoo.

kwanini wasanii wamekaa kimya?
 
Nilikuwa naimba lakini baada ya kuanzisha ufugaji wa punda nikaacha.
 
Back
Top Bottom