Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

Wazee wa kujishuku sijui itakuaje sasa! Ila kama Harmonize katupa jiwe gizani hivi kuna maneno yanamgusa Diamond na kamati yake ya roho mbaya.
 
Kwahiyo sasa hivi bifu jipya town ni Diamond Platnumz na Harmonize?Najua Diamond anakwazika sana, unamtoa mtu ulikomtoa, unamsaidia kwa hali na mali halafu baadae anakugeuka na kukipiga vijembe. Dah, kweli usingoje shukurani.
 
He gambled. He put his money on him. Kwa kifupi mi naona kamsaidia. Lazima tuwe na shukurani wajameni, hii sio poa kabisa.
That was his investment risks.
It's what we call business.

Kwahiyo leo Lady Gaga asilale, kutwa kucha Akon awe anazuruka kwenye media kumtangaza kuwa yeye ndio kamtoa ?

Au Justin Bieber na yeye awe muda wote anajilizaliza, ooh bila Usher mimi si lolote kimuziki ?

Waswahili mna mavi vichwani.

Club ya Mbagala na yenyewe ianze majungu kwamba bila sisi Samatta asingefika hapo.

Au Sports Lisbon ianze kumponda CR7 kwamba imemsaidia mnoo hivyo anapaswa kuiabudu kila siku ???
 
Kwahiyo sasa hivi bifu jipya town ni Diamond Platnumz na Harmonize?Najua Diamond anakwazika sana, unamtoa mtu ulikomtoa, unamsaidia kwa hali na mali halafu baadae anakugeuka na kukipiga vijembe. Dah, kweli usingoje shukurani.
Script inamtaka afanye ivyo
 
Kwa watu walio karibu naye mwambien ndugu yenu apunguze majungu afanye muziki

Mtu kila siku vijembe kama muimba tarabu.
Halafu mapema sana kaanza taarab, akisikia neno hili anatunga wimbo,atakuwa na nyimbo ngapi sasa?

Kina H baba wanamuua kimziki huyu dogo aisee
 
That was his investment risks. That's what we call business.

Kwahiyo leo Lady Gaga asilale, kutwa kucha Akon awe anazuruka kwenye media kumtangaza kuwa yeye ndio kamtoa ?

Club ya Mbagala na yenyewe ianze majungu kwamba bila sisi Samatta asingefika hapo.

Au Sports Lisbon ianze kumponda CR7 kwamba imemsaidia mnoo hivyo anapaswa kuiabudu kila siku ???

Always Cristiano Ronaldo is humble with Sporting Lisbon. He's even ready to help them by any means they want. Don't put him on this.

Hermonize mentor wake ni Diamond. Inabidi atembee kwa breki asiwafuate walimwengu. Walimwengu wanatembea na wewe kwasababu ya upepo tu. One day wanakutupa utashangaa.
Ndio game, lakini isiwe too much personal. Sio poa.
 
Back
Top Bottom