Kaanza hainishtui,Kushoto kulia,hujanikomoa hakujibiwa hakaona haitoshi kabisa akamtafuta mtu anayefanana na boss wake wa zamani ktk video ya ushamba akajibiwa mara moja tu,anaanza kutafuta huruma,wakati wewe ndio umeanza unatafuta ugomvi wa mawe kumbe unaishi kwenye nyumba ya vioo.
Sasa hivi anasupport ya Clouds,EFM,EATV,H-Baba,Diva,Mwijaku wote wanamsupport yy lkn bado analalamika anabaniwa sasa anabaniwa wapi,wakati kuna wasanii wakali kuliko yeye na wametoa hiti kali mwaka huu lkn hawakupata hata nusu ya promo aliyo ipata yeye.
Yaani na hizi media tena zishaamini wasanii ni Alikiba ,King Musics na Konde Gang na Harmonize hii yote kumkomoa Diamond na WCB kumbe wanawaumiza wasanii wengine kabisa ambao hawa husiki na mabeef yao,matokeo yake wanawasahau wasanii wengine kuwapa promo kila siku wale wale ndio wanaopewa promo za kutosha.Darrasa katoa album lkn hizi media hazipush,Barnaba mtoto wa CMG nae katoa album mtoto wao nae wamemchunia,Young D katoa album wamemchunia,lkn subiri siku Kiba au Harmonize atoe album naona wataifanyia promo mwezi mzima.
Huyo dogo afanye mziki wake mimi naamini msanii mzuri ila hivi vijembe nyimbo karibia tano havito msaidia,mimi naamini sasa hivi ndio anapata promo ya kutosha kuliko zamani akifanya masihala tutamsahau na hao wanaompandisha na kumbeba watamshusha,wewe kipindi chote cha hiki cha mwezi huu wa 12 pamoja na kuwa na album yenye nyimbo 18,pamoja na nyimbo zake nyingine zaidi ya tano lkn hamna hata promota aliyemtafuta kwa ajili ya show.