Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

Wewe ni Mpumbavu
 
Aisee kesho tunapitisha bakuli kuchangia matibabu ya miguu baba yake diamond imeanza kuoza.


Tunakujua hater. Kwanini usitembeze bakuli kuwasaidia ndugu zako kandambili huko kijijini kwenu? Wabongo hapo ndio mnapofeli, kuna watu wanahitaji misaada yenu lakini mpo busy tu na unafiki.
 
Halafu mapema sana kaanza taarab,akisikia neno hili anatunga wimbo,atakuwa na nyimbo ngapi sasa?

Kina H baba wanamuua kimziki huyu dogo aisee
H. Baba beef lake na Diamond linajulikana.

Tangu Diamond amwibie wimbo wa Nataka Kulewa hata kabla hiyo Harmonize hajatoka
 
H. Baba beef lake na Diamond linajulikana.

Tangu Diamond amwibie wimbo wa Nataka Kulewa hata kabla hiyo Harmonize hajatoka

Sio H Baba tu, mpaka Ali Kiba wenu watasubiri sana kwa huyu jamaa. He took the game to another level. Before Diamond alikuwa Sugu tu peke yake anafanya muziki kwa ajili ya pesa. Wengine wote walikuwa hawajui wanafanya nini. Diamond Platnumz kawaonyesha njia kwamba Muziki ni kazi kama nyingine, leo hii wote mnamchukia. Sio poa kabisa.
 
Kumbe bro nguvu zako zote hizi unazotumia kujadili kwenye hii thd ni kua umetawaliwa na ushabiki na mahaba niue?

Muziki umebadilika na soko limebadilika,technology imeleta mapinduzi,siku hizi muziki ni nguvu yako ya promo tu,pia ushabiki/mahaba yamezidi,unakuta mtu anajilazimisha kupenda wimbo fulani kisa umeimbwa na mtu ampendae ila wimbo hata kama ni mzuri kwa kua umeimbwa na muimbaji asiyempenda basi atauponda tu!
 
Kuna jambo kidogo tuweke sawa

Hivi mtu unamuimba mshamba tena unamtafutia mpaka mtu anayefanana nae ili kumdhihirishia ..akakujibu wewe kidogo kisha unatoa ngoma kuonesha huna hatia unachukiwa imekaaje hii? Si ndo unafki wenyewe unaanzia hapo?
 


Mbona hiyo ni kawaida, I love everything what Jah Cure sing same goes to Jay-Z, Chris Brown na wengine. What's wrong with that?
 
Mbona hiyo ni kawaida, I love everything what Jah Cure sing same goes to Jay-Z, Chris Brown na wengine. What's wrong with that?
Sasa na wewe ukiona wenzako wanasupport wanaowapenda sio unabeza kama unavyofanya hapa,kumbe jibu unalo tayari.
 
Watu wanaomshabikia diamond hawajui mziki wala hawajui maana ya mziki.
 
Watu wote wanaosapoti vijembe ni haters tu, hawana lolote
Hayo ni mawazo yako na ni imani yako ila kumbuka hapa Duniani kama huna haters basi tambua kua huna la maana unalolifanya,
Mwanaume lazima awe na maadui,lazima awe na haters.
 
Kwahiyo sasa hivi bifu jipya town ni Diamond Platnumz na Harmonize?Najua Diamond anakwazika sana, unamtoa mtu ulikomtoa, unamsaidia kwa hali na mali halafu baadae anakugeuka na kukipiga vijembe. Dah, kweli usingoje shukurani.
Kawaida mkuu hata kwa Diamond kuna watu nao wanaona walimpa support kubwa leo ... ndivyo safari ya mafanikio ilivyo lazima wengine uwa tupe, wengine ukae nao na upate wapya
 
H. Baba beef lake na Diamond linajulikana.

Tangu Diamond amwibie wimbo wa Nataka Kulewa hata kabla hiyo Harmonize hajatoka
Baada ya kuibiwa huo wimbo akaleta nyimbo gani nyingine ya maana ili kuhalalisha kwetu mashabiki kuwa ni kweli alikuwa mkali ndio maana domo akamuibia huo wimbo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…