Nyimbo mpya ya Harmonize(wapo) ni kali sana

Halafu mapema sana kaanza taarab,akisikia neno hili anatunga wimbo,atakuwa na nyimbo ngapi sasa?

Kina H baba wanamuua kimziki huyu dogo aisee
What if kaimba tu mashabiki ndiyo tunatafsiri kamsema mtu, na vipi upande mwingine wakiweka mistari flani wao ni sawa?
 
Kawaida mkuu hata kwa Diamond kuna watu nao wanaona walimpa support kubwa leo ... ndivyo safari ya mafanikio ilivyo lazima wengine uwa tupe, wengine ukae nao na upate wapya
Jamaa anaamini Diamond yeye aliota kama Uyoga ghafla tu.
😀😀
 
H. Baba beef lake na Diamond linajulikana.

Tangu Diamond amwibie wimbo wa Nataka Kulewa hata kabla hiyo Harmonize hajatoka
H-baba Diamond alimwibia wimbo wa nataka kulewa? Sikuona mfanano wa wimbo wa H-baba na wa Diamond kuanzia melody na messege isipokuwa jina tu na kama majina ya nyimbo kufanana ni kawaida, mfano kuna nyimbo nyingi zinaitwa my love, au Love, immortal n.k
H-baba uwa anashindana na mtu ambaye uwa hamjibu na kwasasa Diamond na H-baba ni sawa na mbingu na ardhi.
 
What if kaimba tu mashabiki ndiyo tunatafsiri kamsema mtu, na vipi upande mwingine wakiweka mistari flani wao ni sawa?
Angalia trend ya uimbaji wake wa zamani uliomtoa na wa sasa utajua tu dogo sasa hv ana stress,amepanic.Zamani dogo alikuwa anaimba kikweli kweli.

Sasa hv kujibizana na vijembe kama vya taarab vitampoteza kwani hatafocus kwenye mziki mzuri yeye atakuwa anawawaza haters wake tu.
 
Jamaa anaamini Diamond yeye aliota kama Uyoga ghafla tu.
😀😀
Sure, huenda sababu za diamond kuwa adui na clouds japo walikuwa wakimpa support kiasi kwamba kuna hadi kipindi watu wakaanza hadi kudai Ruge ni meneja wake (kitu ambacho hakikuwa kweli), lakini bado akagombana nao basi ndizo hizo hizo sababu zilizomfanya harmonize aondoke WCB.
 
Ushasema zamani hata diamond nenda kamwambie, ukimuona, mbagara siyo sawa Waah, Ongeza, Jeje n.k Kila nyimbo na ladha yake huwezi kuimba same thing every day. Personaly simuoni kama anafanya vizuri toka atoke WCB, ila siungi mkono kwamba kila anachoimba yeye itafsiriwe mashambulizi wakati nao kule wanatupa mawe ila kwao inakuwa sawa kwake inakuwa si sawa.
 
Tunakujua hater. Kwanini usitembeze bakuli kuwasaidia ndugu zako kandambili huko kijijini kwenu? Wabongo hapo ndio mnapofeli, kuna watu wanahitaji misaada yenu lakini mpo busy tu na unafiki.
ndugu zangu tayari nimeshawasaidia woten hakuna anayeoza miguu kama baba yake diamond..

hebu ifike mahali tumsadie Baba yake Diamond tuchajichange japo mia tano-mia tano apate matibabu ya miguu imeanza kuoza na mwanae hana pesa za kumtibu.
 
Baada ya kuibiwa huo wimbo akaleta nyimbo gani nyingine ya maana ili kuhalalisha kwetu mashabiki kuwa ni kweli alikuwa mkali ndio maana domo akamuibia huo wimbo?
Hakuna majibu mkuu,zaidi ya nyimbo za makelele Kama anafukuza mwizi.
 
Basi wapelekeeni ndugu zake harmonize.
siwajui hao, namjua baba wa star mkubwa AFrica ambaye anaoza miguu na inaelekea mtoto wake hajafanikiwa kuwa na pesa za kumtibu.

Haya hima-hima mjingamimi fanya kuhamasisha mashabiki wenzako wa diaomond tuchange pesa tumtibu baba yake miguu kabla haijakatwa kwa kuoza.
 
Diamond baba yake Ni Uncle shamte.
Sasa Kama mnataka kumsaidia huyo mzee msaidieni tu Kama watu wengine Ila msiseme Ni babayake diamond.
 
Diamond baba yake Ni Uncle shamte.
Sasa Kama mnataka kumsaidia huyo mzee msaidieni tu Kama watu wengine Ila msiseme Ni babayake diamond.
naomba mchango wako hata jero tu, huyu baba aliyewaletea boss anastahili kutibiwa miguu kabla haijakatwa.
 
ndugu zangu tayari nimeshawasaidia woten hakuna anayeoza miguu kama baba yake diamond..

hebu ifike mahali tumsadie Baba yake Diamond tuchajichange japo mia tano-mia tano apate matibabu ya miguu imeanza kuoza na mwanae hana pesa za kumtibu.

Unataka kusaidia baba za wengine babaako choka mbaya
 
Unataka kusaidia baba za wengine babaako choka mbaya
hapana aisee baba yangu hajachoka sina roho mbaya kiasi hicho.

mtake msitake huyu baba yenu anayeoza miguu lazima tumchangie na tumtibu.
 
hapana aisee baba yangu hajachoka sina roho mbaya kiasi hicho.

mtake msitake huyu baba yenu anayeoza miguu lazima tumchangie na tumtibu.

Mungu akubariki kwa moyo huo, mimi mwenyewe nina matatizo yangu kwahiyo siwezi kuwachangia nisiowajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…