Nyimbo nzuri za mahaba

Nyimbo nzuri za mahaba

Kuna nyimbo nzuri za mahaba kusikiliza wakati wa mgegedo

Huwa zinaongeza hisia,upendo na ukaribu

Kuna wakati/muda wa kupiga t@ko unakuwa unaendana na biti

Kuna maisha baada ya nyimbo za mahaba
Mbaya nikifanya hivo, hiyo nyimbo nikija kusikiliza next time hapo hapo na remember na ushenzi niliokua nafanya huku ikiimba. 😂😂
 
Mbaya nikifanya hivo, hiyo nyimbo nikija kusikiliza next time hapo hapo na remember na ushenzi niliokua nafanya huku ikiimba. [emoji23][emoji23]
Hahahaha....

Vipi kwema lakini mkuu
 
One the incredible - Mlimbwende
Joh Makini - Chochote
Mr blue ft. Steve RnB - Tabasamu
Kendrick lamar - Love
Dizasta vina - Fallen Angel
Dizasta vina - Hatia IV
Hatia lV umetisha sana hapo
 
Back
Top Bottom