Nyimbo ya Abby skills ft Mr blue

Nyimbo ya Abby skills ft Mr blue

Dcxkobe

Member
Joined
Mar 5, 2023
Posts
57
Reaction score
136
Wakuu Leo nilikua najikumbusha kuangalia nyimbo za bongo fleva za zamani, hivi Ile nyimbo ya Abby skills ft Mr blue. Mimi wewe, yule demu alietumika mule kwenye video sio qeeen daaring kweli au nimefananisha?
 
Ndie yeye huyo halafu Queen Darleen nilimuona mzuri kwenye ule wimbo wa

Queen Darlene ft Ali Kiba - Si unajua nakupenda
 
Tafuta nyimbo ya mad max alimshirikisha queen darleen enzi hizo ilikuwa 1998/99 enzi hizo kadogo kweli.
 
bibie aliweka zile sauti za kike pia kwenye wimbo wa Nyambizi, historia ya kweli ( za Dully ) na toto la geti kali (inspector haroon)
 
Back
Top Bottom