Mejasoko
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 298
- 600
Vesi ya kwanza Ngwair anajipanga kutoka ghetto amoga na kuwaka na kuingia kitaa kuanza kula bata, kuanzia supu ya chapati, grave yard kupata nyasi, anawacheki Rich Coast wapi wapi, wanakutana mitaa ya Chaga byte, kupiga ugali mkubwa na samaki, mpaka mitungi ya kupotezea wakati, ukitaka fegi mezani Kuna pakti, iwe SM au Embassy, hapo utakula Raha mpaka mwenyewe utasema basi, makamuzi yanaendelea mpaka night, anacheki mfukoni kiasi kilichobaki,
anajikuta ana kama LAKI, anawaambia washikaji kinachofuata ni Mikasi!
Vesi ya pili inaanza kulewa tushalewa kilichobaki Mikasi washikaji milupo tutapata wapi? Wanendelea wee mpaka wanaita Tax na kupelekea masaki, aliye na bati anaachwa akanywee asubuhi chai chapati wenzake wakielekea kwenye bonge la party
Vesi ya tatu washafika
Mox: Dereva funga break tushafika kwenye party
Ngwair: Ebwana ee kumbe bonge la party
Mox: Cheki mademu kibao utazani kitchen party
Ngwair: cheki yule demu aliyevaa skin tight
Mox: Lipo safi si mchezo babaake unaeza ukaonga LAKI
Ngwair: Aa wapi mtu ka Mimi hanipati usawa wenyewe huu wa kulenga kwa manati
Wanendelea hukoo weee.................. Mpaka
Majani: Oya braza mwenye black unaitwa na yule Anti
Mox: Yu kwapi
Majani: Yule aliyevaa kaki
Mox: Anti Vipi
Rah P: Aah Safi nilikua nahitaji tuwe wote kwenye party au unasemaje
Mox: Mi naona Safi
Upande wa Ngwair mwenye LAKI yake na hakubali kuhonga
Ngwair: Samahani wewe Anti uliyevaa shati hivi unaitwa nani
Rah P: Naitwa Bahati
Ngwair: Hivi anti nshawai kukuona wapi
Rah P: Acha longo longo we sema una shng ngapi? (LAKI inatoka bila ubishi 🤣)
Mox : We mazee mpango wako vipi
Ngwair: Mi mazee mbona mpango wangu safi ( Kinyonge LAKI imempata mwenyewe)
Mox: Ushakua usiku twende zetu tukachukue Tax twenzetu tukapige Mikasi
NB; LAKI ya Ngwair iliwindwa zamani sana Mox kabeba tu kisela Ngwair kadaiwa hela na hakukubali pisi Kali hazing'oki bure huku mfukoni ana LAKI na anataka Mikasi, na Mikasi Ina nguvu lazima aliadmiit kauli ya Mox, "Si mchezo babaake unaeza ukaonga LAKI"
Bonge la Track 2004 miaka 20 iliyopita ila bonge la idea
Master Jay anasema hii production ya P.Funk kwenye hii Traki ndio ilimteyemesha kwenye ushindani wao na Ngwair kwake ndio msanii bora wa muda wote
Kuna ukweli flani kwenye hili, au wewe unasemaje?
BTW, Proceed to Rest Easy Cowbama