Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Nov 11, 2024 #21 Until_The_End said: Mbona kama AI ndo imetumika kutengeneza kila kitu Click to expand... Halafu wanaJF wanajaa vichwa wakijua jamaa kaingia kwa Estukizi. Wameshindwa hata kubaini sauti lenyewe lina mafua fua. Bongoland ni mwendo wa Autotune
Until_The_End said: Mbona kama AI ndo imetumika kutengeneza kila kitu Click to expand... Halafu wanaJF wanajaa vichwa wakijua jamaa kaingia kwa Estukizi. Wameshindwa hata kubaini sauti lenyewe lina mafua fua. Bongoland ni mwendo wa Autotune
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Nov 11, 2024 #22 Magical power said: Wabongo wachoyo asee ata kutoa maoni tu๐๐๐ Click to expand... Nzuri