Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
AmibaBila shaka simu yako ni smartphone,, ingia google jaribu ku 'search taarifa zake naamini hautozikosa..
Barikiwa sana.
Si unataka kufahamu historia yake au vipi?Amiba
Niingie google kusachi mahali gani anapoabudu muimbaji Boaz danken?
kijana ni mtu wa Mbeya amesoma chuo cha SAUT anasali kanisa la TAG pale karibu na chuoHuyu kijana Boaz Danken anaimba nyimbo za injili za kusifu na kuabudu ni kama kwa sasa Mungu amempa kijiti kuongoza waimbaji wengine wa nyimbo za injili hapa nchini.
Mimi mkristo nasikiliza nyimbo nyingi kila siku zinanibariki ila kwa sasa huyu kijana Boaz Danken nimekuja kugundua nyimbo zake zinanibariki zaidi kabla ya kuingia kufanya maombi ya faragha nikisikiliza nyimbo zake nimeona nabarikiwa zaidi napata majibu kwa haraka zaidi
Napenda kujua huyu kijana historia yake alipotokea na anaposali ni wapi kwa sasa

Good kumbe naye ni mwaisakijana ni mtu wa Mbeya amesoma chuo cha SAUT anasali kanisa la TAG pale karibu na chuo
ndioGood kumbe naye ni mwaisa
Kama ni mtu wa maombi penda sana kusikiliza nyimbo za huyu jamaa kwa sasa utabarikiwa sana utukufu wa Mungu unakuzukia unakuwa connect na Ile nguvu ya Roho Mtakatifu ndani yakoNyimbo za kulia mpaka mafua noooo