Nimekuelewa, yaani ni kama ingekuwa Mrisho Mpoto imba yake ile iwe kwa lugha ya Kiingereza ange trend sana Duniani kuliko hata DiamondStyle ya uimbaji wa burner kachukua vionjo halisi vya kiafrika, kutoka kwa kizazi cha akina fella kuti na yusufu ndou, sasa kwa mtoto wa juzi usiejua vionjo hivyo kamwe huwezi kumuelewa kabisa lakini ana aina yake pekee ndio inayombeba
We ni Yanga au Simba!?Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote.
Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with my lv naona ni nzuri sana pamoja na nyimbo za Nigerian musicians wengine ni nzuri sana kuliko za huyu Burna boy
PlatnamuzzzzzzzUlitaka nani afunike?
liko au yupo?Liko vizuri kimuonekano na sauti baadhi ya nyimbo zake ni kali anastahili
Braza,kumbe bado upo hai?.Daah au upo bize na ID nyingine?.Kitambo sana.Binafsi nikiaskia Sauti ya Burna Boy huwa nabadilisha channel. Sijawahi kumuelewa kuanzia Sauti hadi nyimbo.
Liko ni zaidi ya yukoliko au yupo?
Kwanini usiniulize kama ni Gwambina au KMCWe ni Yanga au Simba!?