Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

Jamaa ninaelewa wimbo wake mmoja tu ule kilometer, ninahisi ana nguvu nyingine ya ziada inayom-push. Kiuhalisia sio mkali kisanaa kuanzia utunzi wa mashairi hadi video zake lakini ndo star wa Africa na ni miongoni mwa mastar wa dunia weusi kwa sasa.
 
Hujamsikiliza vizuri msikilize tena
✍️
 
Mkuu kaimbe wewe basi
 
Mkuu kaimbe wewe basi
Ni vema tujuwe kuwa mitizamo hutofautiana kati ya mtu na mtu. Na mimi huo ulikuwa ni mtizamo wangu, naamini wapo wanaomuona tofauti na mimi kuhusu Burna Boy.

NAONA UMENIJIBU KWA DHIHAKA.
 
Duu kweli watu tunatofautiana.

Mimi huyu Wizkid ndio sijawahi kumuelewa hata wimbo mmoja, naonaga anaimba nyimbo za ovyo ovyo tu.

Kwa Nigeria Davido, Burna boy Na Tiwa Savage ndio napenda nyimbo zao. Hao kina Rema na matakataka mengine naonaga hovyo tu.
 
Kwahiyo ojuelegba ya wizkidayo huielewi?

Top your matter je?

Joro?

Cool me down?

Oje?

Dance?

Hata ile ya
In my bed?

Smile je?

Kweli tunatofautiana mitazamo.
 
Sijuwi ki Nigeria wala kingereza ila uwimbo wa wiz kid [emoji117]ojuelegba. Naupenda sana
 
Achana na Burna Boy, unajua kina Angelique Kidjo na Youso Ndour wanajulikana dunia nzima ila wengi wetu hatuwezi kabisa kuzisikiliza nyimbo zao? Kuna yule Black Kofee ulishawahi kumwelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…