kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 2,887
- 5,687
Nyimbo za Diamond wa sasa ni takataka tupu na ndio zimepata wafuasi (siyo true fans wa muziki) wengi, maajabu. Nimelinganisha na nyimbo za Chege, huyu bwana ni mwanamziki. Anaimba muziki haswa wenye kila kitu in terms of qualities.
Diamond wa sasa anaimba takataka zinazo haribu vijana wengi huku mtaani. Humo kuna nyimbo zinahamasisha hadi ufirauni, ajabu kuna watu wanamtetea kisa tu maisha yao yanamtegemea yeye.
Abadilike arudishe mziki wa zamani ule ulio mtoa . kuimba takataka kisa unapata pesa haina tofauti na kuuza madawa ya kulevya. Mipovu ruksa kwa waramba miguu ya Diamond.