Nyimbo za Diamond Platnumz hazikosi mistari inayoashiria vitendo vya ngono

Nyimbo za Diamond Platnumz hazikosi mistari inayoashiria vitendo vya ngono

Matusi ni sehemu ya utamaduni wa music, ndio maana tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunakatazwa kuimba miziki ya bongo fleva na hip-hop
 
Huyo ni mburudishaji, anajua ku-twerk, hana ujumbe, no wonder nyimbo zake hazidumu.
 
Mimi siyo mtabiri ila album ya uyu kijana mistari ifuatayo huwezi kosa inavyoingia,ukiinama,ikalie ,rungu la kipepe,naingiza taratibu,unavyoidaka Na kuinyonya

Itoshe kusema kijana kafika mwisho wa uwezo wake naona saa hii viewers anapata sababu ya jina lakini ubora wa kazi hakuna kitu
Mkuu anawapa wateja wanachohitaji. Huo ujinga ndio umemfikisha aliko sasa
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
3156c94d62e4c357bcdd5e20105af2cdda2ff4430ccbcd331e1200671fb86c83.0.png
 
Kuna Cha zaidi ya ngono kwenye akili ya Diamond?
 
Jamaa alianza kuyumba muda mrefu kidogo. Lakini sio yeye tu, almost wasanii wote. Ukiona mtu anafanya vibaya na bado ana trend jua kabisa hata competitors wake hawana afadhali. I think kuna kitu hakipo sawa kwenye industry ya mziki wa hapa nyumbani.

Sijui ni ukosefu wa ubunifu/ elimu ya mziki ndio ugonjwa wa wasanii wetu au ulimbukeni wa mashabiki wetu wa mziki!

Saivi inaweza ikapita hata miaka mitatu hujaskia kwanja ya maana hata moja. Hapa ndipo tulipofika na kwa bahati mbaya wajomba wa tuzo kubwa Africa na Duniani hawana huruma na kazi mbovu. Wako radhi wampe tuzo mtu mmoja hata mara mia as long as anafanya kazi nzuri.

Kwa kweli saivi hatupo vizuri halafu ni kama Africa nzima imeshatushtukia kuwa mziki wetu ni wa ujanja ujanja. Mambo ya ku copy, edit na paste.

Content za nyimbo nyingi ni very poor to the extent kunatumika nguvu nyingi na gharama kubwa sana kwenye shooting ili tu kulazimisha mashabiki waangalie nyimbo youtube. This is sad. Prime purpose ya mziki ni to be listened to, na sio to be watched. Feli kwenye kumfanya mtu apende kusikiliza ngoma yako and you are done for good.

Kwa kweli we need reformation kwenye mziki kama ilivyo kwenye mpira, we are not good enough!

Btw, Nigerians are very good at this craft. We should sit down and take notes.
Hayo ni mashart ya illuminant
 
Hazina maadili ndio maana zinapedwa zaidi Kenya , Sudani na Somalia wasioelewa vizuri mafumbo ya kiswahili
 
Huo ni wivu tu [emoji41][emoji41]







Ova....
 
nakumbuka niliwahi kutana na shairi form 4 kumbe ni nyimbo ya kitambo fulani hv
sasa leo ukiwaza mashairi yao kuwapa watoto wajibie pepa kisanga
 
Music ni moja ya nyenzo muhimu ya freemasons.

Freemsons wana hamasisha ushoga (wcb wapo wa kutosha)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hisia za watu na Freemasons inahusu nn? Watu mna vituko na vioja wallah, khaaaah
 
Mimi siyo mtabiri ila album ya uyu kijana mistari ifuatayo huwezi kosa inavyoingia,ukiinama,ikalie ,rungu la kipepe,naingiza taratibu,unavyoidaka Na kuinyonya.

Itoshe kusema kijana kafika mwisho wa uwezo wake naona saa hii viewers anapata sababu ya jina lakini ubora wa kazi hakuna kitu.
ndio agano lake na shetani.ameharibu kweli kizazi hiki, na kwa hela hizo hizo za ngono anajenga hadi misikiti.
 
Mimi siyo mtabiri ila album ya uyu kijana mistari ifuatayo huwezi kosa inavyoingia,ukiinama,ikalie ,rungu la kipepe,naingiza taratibu,unavyoidaka Na kuinyonya.

Itoshe kusema kijana kafika mwisho wa uwezo wake naona saa hii viewers anapata sababu ya jina lakini ubora wa kazi hakuna kitu.
Kweli kabisa Mkuu.Jamaa amechoka.
 
Back
Top Bottom