Nyimbo za Diamond Platnumz hazikosi mistari inayoashiria vitendo vya ngono

Matusi ni sehemu ya utamaduni wa music, ndio maana tulivyokuwa wadogo tulikuwa tunakatazwa kuimba miziki ya bongo fleva na hip-hop
 
Huyo ni mburudishaji, anajua ku-twerk, hana ujumbe, no wonder nyimbo zake hazidumu.
 
Mkuu anawapa wateja wanachohitaji. Huo ujinga ndio umemfikisha aliko sasa
 
Reactions: Qwy
Kuna Cha zaidi ya ngono kwenye akili ya Diamond?
 
Hayo ni mashart ya illuminant
 
Hazina maadili ndio maana zinapedwa zaidi Kenya , Sudani na Somalia wasioelewa vizuri mafumbo ya kiswahili
 
Huo ni wivu tu [emoji41][emoji41]







Ova....
 
nakumbuka niliwahi kutana na shairi form 4 kumbe ni nyimbo ya kitambo fulani hv
sasa leo ukiwaza mashairi yao kuwapa watoto wajibie pepa kisanga
 
Music ni moja ya nyenzo muhimu ya freemasons.

Freemsons wana hamasisha ushoga (wcb wapo wa kutosha)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hisia za watu na Freemasons inahusu nn? Watu mna vituko na vioja wallah, khaaaah
 
ndio agano lake na shetani.ameharibu kweli kizazi hiki, na kwa hela hizo hizo za ngono anajenga hadi misikiti.
 
Kweli kabisa Mkuu.Jamaa amechoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…