Nyimbo za Diamond Platnumz hazikosi mistari inayoashiria vitendo vya ngono

Marekani wasanii wote wakubwa unaowajua wanaimba ngono, drugs, pombe na wanafanya poa dunia nzima! Kwani umelazimishwa kumskiliza diamond?? Wabongo mnapenda kujitesa sana!
Kwani tupo Marekani sasa??
 
Nimesikia wimbo wa Harmonize kuna mistari inahamasisha kula ndogo, eti 'itateleza kuingia Igunga'. Japo si msikilizaji sana ila huwa navutiwa na wao kushindana kwani ndiyo kunawapa chachu ya kuongeza mbinu na ubunifu lakini dah[emoji38][emoji38] ilibidi nicheke.
Yaani eti badala ya lile tundu original la kwichikwichi itateleza mpaka Igunga, in short Bongo flavor artists majority wanatukana sana kwenye nyimbo zao lakini Diamond ndiyo anaonekana zaidi kwa sababu ukubwa wake unaofanya nyimbo zake kuwa ndiyo zinazosikilizwa zaidi. Kile kikohozi cha wavuta bangi ambacho Harmo amekifanya kuwa ni trademark yake angekuwa ni Diamond ile ingekuwa ni big scandal na ingejadiliwa sana mitandaoni.
Hata hao vijana wengine wa WCB hasa Mbosso, yeye Mbosso kwa matusi anamzidi hata Diamond.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hisia za watu na Freemasons inahusu nn? Watu mna vituko na vioja wallah, khaaaah
Imani hizo wanazo watu wenye upungufu wa akili, hao huamini kuwa Freemason ni cult.
 
Sio diamond tu ata za kina wizkidi 90% Ya wasanii wote wakubwa duniani zina ayo mambo shida inayokuandama unaijua mwenyew ata uyo konde si ni ivo ivo au coz mond ndio icon na wizkid je au coz kiingeleza haujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…