Nyimbo za maana zilizotoka hivi karibuni

Jux- utaniua kali
Billnas Sina jambo.
 
Ningependa kuwasikia Zaiid na One The Incredible kwenye track moja mahiri.

Zaiid katika "Sijulikani" anakwambia

"Mi ndo rapper mwenye roho nzuri, nikiua rapper napiga dua juu ya kaburi"

Hahaaaa

 
Yaani kuna wasanii wanatajwa humu siwajui wala siawahi kuwasikia.
 
Zaiid ni kichaa, nitazitafuta.
Ba Zuhura,
Nikajua wewe oldschool m-baknaffek wa kina Das Efx na kina PMD.

Alitisha saana kwenye Mix-tape kanda mbovu.
 
Ba Zuhura,
Nikajua wewe oldschool m-baknaffek wa kina Das Efx na kina PMD.

Alitisha saana kwenye Mix-tape kanda mbovu.
Mi old school lakini new blood nazijua.

Zaiid anaflow kuliko Future.

Sent from my Kimulimuli
 
Jaribu kuchanganya ladha kama Al-Watan uchangamshe kichwa..

Wasikilize kina One the incredible, Zaiid n.k
Rap!!!!!!!!!!!!!!!
You cant be serious.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ochu sheggy - nisamehe bure
Mayunga - nawekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…