Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jux- utaniua kaliJux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana sana sana ngoma kali sana)
Zaiid - wowow (hii ngoma ina ubunifu mkali japo alichokiimba !!!!)
Chidbees- kababayee (hii ngoma tamu sana beat ya lufa kaua sana na zile violins)
Nyimbo ya ney wa mitego inaitwa maku(makuzi)😛
Yaani analalamika kwa kweli mpaka nikasema au kwakuwa mi Sijui mziki Ndio maana naona Kama analalamika lalamika kila nyimboAnaboa yeye ni kulalamika tu na anatumia melody moja.katoka nyimbo kibao lakini melody moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe basi tuko wengi na media zinavyojua kumbeba. Nilitegemea libebe ya beka iwe jiwe la mwezi lakini waapi.
MfanoYaani kuna wasanii wanatajwa humu siwajui wala siawahi kuwasikia.
Ba Zuhura,Zaiid ni kichaa, nitazitafuta.
Teh.... seduce me.Yaani kuna wasanii wanatajwa humu siwajui wala siawahi kuwasikia.
Mi old school lakini new blood nazijua.Ba Zuhura,
Nikajua wewe oldschool m-baknaffek wa kina Das Efx na kina PMD.
Alitisha saana kwenye Mix-tape kanda mbovu.
Hayo ndio mambo sasaTeh.... seduce me.
Ndio hapo SasaKumbe basi tuko wengi na media zinavyojua kumbeba. Nilitegemea libebe ya beka iwe jiwe la mwezi lakini waapi.
Aslay anajua ila recently anaimba nyimbo kama zinafanana na nyingine production iko chini coz ya studio
Mi old school lakini new blood nazijua.
Zaiid anaflow kuliko Future.
Sent from my Kimulimuli
Jaribu kuchanganya ladha kama Al-Watan uchangamshe kichwa..Hayo ndio mambo sasa
Rap!!!!!!!!!!!!!!!Jaribu kuchanganya ladha kama Al-Watan uchangamshe kichwa..
Wasikilize kina One the incredible, Zaiid n.k
Kaskazn hakuna msanii wa kuendana na ushindan uliopo sasa kwenye game sema ndo hivyo jamaa wanabebwa kinomaExactly 100 100!