Nyimbo za maana zilizotoka hivi karibuni

Nyimbo za maana zilizotoka hivi karibuni

Naipenda nyimbo ya rama dee - kwa akili yangu.
Ya ditto - nabembea
Ya vee money - duasi na kisela
 
Maitre gimms - Marabout bonge moja la dude kwa wanaopenda kusikiliza ladha tafauti
 
Jux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana sana sana ngoma kali sana)
Zaiid - wowow (hii ngoma ina ubunifu mkali japo alichokiimba !!!!)
Chidbees- kababayee (hii ngoma tamu sana beat ya lufa kaua sana na zile violins)
Seduce me~ alikiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sina jambo na Utaniua ni nyimbo zilizofanyiwa mixing ya hatari kabisa na hazichoshi kusikiliza..........hizi kwangu ndio nyimbo bora za haraka kabisa kuzitaja mahala popote nitapoulizwa
 
Babylon Byser ft JR- Siwezi

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
Back
Top Bottom