Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta nyimbo ya Simi inaitwa Joromi,trust me utaipendaNaipenda nyimbo ya rama dee - kwa akili yangu.
Ya ditto - nabembea
Ya vee money - duasi na kisela
Seduce me~ alikibaJux - utaniua (manekee kaua sana sana maana nyimbo za namna hii yeye ndo mchawi wake)
Bright - Ni wewe (huyu dogo nilikuwa na mu under estimate ila kwa hii ngoma kwakweli nimekubari ni mkali sana sana sana ngoma kali sana)
Zaiid - wowow (hii ngoma ina ubunifu mkali japo alichokiimba !!!!)
Chidbees- kababayee (hii ngoma tamu sana beat ya lufa kaua sana na zile violins)
OK okTafuta nyimbo ya Simi inaitwa Joromi,trust me utaipenda
Usisahau kuleta mrejeshoOK ok
Hana kipaji. Yeye na Feza Kessy wnabebwa bebwa na Network ya watu wa chuga kwenye Media na Entertainment
Ni ngosha huyo anafata nyayo za ngosha mwenziyeHuyu jamaa hakuishiwa mistari, tofauti wakongwe wengi wa hip hop..tena wenye albums nyingi ila huwa wanasanda kwenye dakika kumi za maangamizi, ila huyu jamaa alichana mpaka akaomba kuongezewa muda.
Huyu dogo ni noma sana aisee.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamcopy sana Desiigner mpaka kucheza.Zaidi nimependa beat ya lufa nahisi ni beat imenfanya nipende wimbo hasa zile violin
Wanakazkasn wanabebwa sana sababu media nyingi wamiliki wake wanatoka hukoHana kipaji. Yeye na Feza Kessy wnabebwa bebwa na Network ya watu wa chuga kwenye Media na Entertainment
Exactly 100 100!Wanakazkasn wanabebwa sana sababu media nyingi wamiliki wake wanatoka huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaboa yeye ni kulalamika tu na anatumia melody moja.katoka nyimbo kibao lakini melody moja.