PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
Wakina nani?Huu Uzi hutawaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakina nani?Huu Uzi hutawaona
WaleWakina nani?
C unajua team janja janja!....WCB hawakurupuki kufanya vtu vkali......wana-invest kwenye kaz na ayo ndo matokeo chanya ya kaz zao wanazozifanya kwa bidii na juhudi......!!
bila ya kuwa na ujanja kwa maisha aya huwez kutusuaC unajua team janja janja
pole ya nini mkuuPole Mkuu.
Ha ha ha.. sawa mkuuhahahahaa........ huwezikuelewa , si umekuja na majibu yako.
Nasikia wamejiegemeza kwa Darasa hivi sasa... baada ya kujiegemeza kwa Davido na baadae kwa WizKid bila mafanikio!!team kibakuli hivi kwa nn msijiweke pembeni..hii league hamuiwezi
Raha ya team domo wanaenda na factHiki ndio kinachofanya haters wa Diamond wabuni matusi mapya kilasiku..
Cjaona sehem kiba katajwa labda unajishtukiakwanin akiongelewa diamond&wcb lazima atajwe kiba ???nauliza kwani ndio rival wa wcb ????
Hakuna comparison apo Bali BBC ndo wametoa iyo report labda kama ww ndo unatak kufanya iyo comparisonkumbe ally anawatisha sana watu wa mond maana kila siku mnajaribu kufanyanae comparison king kiba anawanyima watu usingizi
am ok with bbc lakini shuka na comment zenu kwanzaHakuna comparison apo Bali BBC ndo wametoa iyo report labda kama ww ndo unatak kufanya iyo comparison
Ww unasumbuliwa na mihemukoam ok with bbc lakini shuka na comment zenu kwanza
tatizo lako ni mgumu kuelewaWw unasumbuliwa na mihemuko