Nyimbo za Tanzania zilipendwa zaidi Kenya 2016

Nyimbo za Tanzania zilipendwa zaidi Kenya 2016

!....WCB hawakurupuki kufanya vtu vkali......wana-invest kwenye kaz na ayo ndo matokeo chanya ya kaz zao wanazozifanya kwa bidii na juhudi......!!
 
kwanin akiongelewa diamond&wcb lazima atajwe kiba ???nauliza kwani ndio rival wa wcb ????
 
kumbe ally anawatisha sana watu wa mond maana kila siku mnajaribu kufanyanae comparison king kiba anawanyima watu usingizi
 
kumbe ally anawatisha sana watu wa mond maana kila siku mnajaribu kufanyanae comparison king kiba anawanyima watu usingizi
Hakuna comparison apo Bali BBC ndo wametoa iyo report labda kama ww ndo unatak kufanya iyo comparison
 
Back
Top Bottom