Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

Nyimbo za utotoni za zamani ambazo watoto wa leo hawazijui

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu redioni kulikuwa na wimbo unaniudhi,

Ulikuwa unaomba hivi

"Ukumbuke afya yako sanasana eeh
Uoge kila siku, safisha meno yako, mtu ni afyaaaaa
"

Sasa mimi kwa sababu michezo ilikuwa ni mingi narudi nyumbani nimechafuka halafu sipendi kuoga, nikiusikia tu huo waimbo natamani kuzima redio maana lazim mama atakukumbusha "Unaona hadi redio zinakuimba".

Mbaya zaidi wimbo huo ulikuwa unaimbwa kila ikifika saa moja jioni yaani wakati wa kuoga.
 
Duuuuuhhh [emoji119][emoji119][emoji119]
..hapo kwenye namtafuta mke wangu...mwisho ipo..huu mti gan..wa mchoma..ukiukataaa..haukatiki..hata kwa shoka haukatiki hata kwa panga haukatik..wakat mkeo yupo ndan kazingwa kwa kushikana mikono..ww inakata mikono iliyoshikana ukikatika unamkimbiza mkeo huyoooooo kwenye matuta ya viaz...sasa kitakachofuata huko n za kinguo nguo...n aaaashiiiiii aaashiiii...
 
Na atakayeangusha kijiti wakati wa kula anaambulia kupigwa makofi mwili mzima mpaka aende kugusa au kushika kitu mlichokubaliana ndio mnamwachia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Na ilikua hafanikiwi kugusa hicho kitu maana alikua anavutwa shati na mibao ya mgongo juu 😭😂😂😂😂😂
 
"Chidea chidea, chide chidee chide chidee, i love you nakupenda"
 
Huku kwetu nyanda za juu kusini tulikuwa tukiimba " tunsindikilepo...bhibhiii..ontali engono bhibhi"
 
Back
Top Bottom