La gioconda
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 471
- 737
Nage ya wote diginjaaaaa
Kama hutaki sambaaa
Nenda ukauze dagaaaa
Bei shilingi miaaaa
Kama hutaki sambaaa
Nenda ukauze dagaaaa
Bei shilingi miaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie tulikuwa twaimba hvNage ya wote diginjaaaaa
Kama hutaki sambaaa
Nenda ukauze dagaaaa
Bei shilingi miaaaa
Hahahahahhahaa huo wimbo tulikuwa tunaimba kutokana na ala iliyokuwa inapigwa radio tanzania wakati wa mida ya kula chakula cha usiku. Sikumbuki ilikuwa kipindi gani ila sie tulikuwa tunaimba hiviii
Baba Asha nae, na viraka vyake..
Vinaulizana umekuja linii
Nimekuja janaa kuamkia leeooo. .....
Hahah hello Kasinde, ilikuwa kipindi cha michezo cha RTD...
Sijui kwa sasa kama wanatumia mdundo huo huo au walibadilika baada ya kuwa TBC...
How are you by the way? Umeadimika....... nrushie ganja basi.....
Am good cupcake!!!
Jukwaa la nyuma napatikana muda wote ukuje tu uipate ganja yako ikiwa imewashwa...
jukwaa la nyuma Kasie, PM...Thanks that you are good.
Umeniacha kidogo, jukwaa la juu ni lipi hilo?
jukwaa la nyuma Kasie, PM...
just drop some texts...
Na ukishapiga misuba yako hata mwandiko wako hubadilika...Oooh right there.... see you.
Nna kiu sana na ganja hehehee, siku nyingi sijavuta msuba.
Mama mzaziMama wa kambo, mbo
Mbona wanitesa sa
Sasa naondoka ka
Kaa peke yako ko
Koti la babu bu
Bubu asemi mi
Mimi nasema ma
Mwengine aendelee..
Hizi nyimbo hata origin haijulikan..!
Ni kweli mkuu huwa unaanzia na mama mzazi.. Ndo maana flow ikakata kumbe nilikosea... [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Mama mzazi
Zizi la ng'ombe
Mbele ya nyumba
........ [emoji23] [emoji23] nimesahau ni miaka ya tisini huko ndo mara yangu ya mwisho kuuimba
Na ukishapiga misuba yako hata mwandiko wako hubadilika...
Unaanza kuja na ile misredi yako ya kuamsha wadudu wakorofi mwilini...
Mba mbali na wewe we wembe wa kucha cha chakula kitamu mu Mungu mkubwa bwa bwawa la samaki ki king majuto to tone la maji ji jitu la kale le lenye mandevu vu vumbua dhahabu bu bubu hasemi Mimi mdogo go gogo la mti ti tina na mjuba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mama mzazi
Zizi la ng'ombe
Mbele ya nyumba
........ [emoji23] [emoji23] nimesahau ni miaka ya tisini huko ndo mara yangu ya mwisho kuuimba
🙂🙂Heey heeey heeeeyy. ... hahahahahahaa
Fcuk you right back...... should I tie..... slavery. ...